Nyumbani

Azam kuweka kambi Tunisia

WAKATI harakati za maandalizi ya timu mbalimbali kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano zikiendelea, klabu ya Azam imetangaza kuweka kambi Tunisia.

Katika taarifa kupitia mitandao yake ya kijamii Azam imesema: “Jumapili hii tunatarajia kusafiri kuelekea jijini Sousse, Tunisia kuweka kambi ya wiki tatu (Julai 9-30, 2023 kujiandaa na msimu ujao 2023/24.”

Tayari miamba ya soka, Simba imetangaza kuweka kambi Uturuki wakati Yanga itaweka kambi Dar es Salaam.

Related Articles

Back to top button