Ligi KuuNyumbani

Simba dimbani leo

LIGI Kuu ya soka Tanzania bara inaendelea leo kwa michezo miwili kupigwa Dar es Salaam na Morogoro.

Baada ya kumtimua kocha wake Zoran Maki Septemba 6, Simba itashuka kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kuikabili KMC.

Kwa sasa Simba ipo chini ya Kocha Selemani Matola.

Katika mchezo mwingine Mtibwa Sugar itakuwa mwenyeji wa Ihefu mtanange utakaopigwa uwanja wa Manungu uliopo Turiani, Morogoro.

Related Articles

Back to top button