Ligi Ya WanawakeNyumbani
Ligi Kuu wanawake Des. 20

LIGI Kuu ya Mpira wa Miguu Tanzania Bara ya wanawake imepangwa kuanza Desemba 20, 2023.
Kwa mujibu wa ratiba mabingwa watetezi JKT Queens itaanza kutetea taji hilo ugenini dhidi ya Bunda Queens kwenye uwanja wa Karume mjini Musoma, Mara.
Michezo mingine ya ufunguzi ni kama ifuatavyo:
Simba Queens vs Ceasiaa Queens
Alliance Girls vs Geita Gold Queens
Fountain Gate Princess vs Amani Queens.