Ligi KuuNyumbani

Patashika Ligi Kuu leo

LIGI Kuu soka Tanzania Bara inaendelea leo kwa michezo miwili kupigwa Shinyanga na Tanga.

JKT Tanzania itakuwa uwanja wake wa nyumba wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga kuikaribisha Kagera Sugar.

Tabora United itakuwa mgeni wa Coastal Union kwenye uwanja wa CCM Mkwakwani jijini Tanga.

Related Articles

Back to top button