Burudani

Harmonize kukiwasha Wasafi Festival

Rajab Abdul ‘Konde Boy’ kutoka katika tasnia ya bongo fleva amethibitisha kuhudhuria tamasha la Wasafi Festival litakalofanyika Mtwara.

Kupitia ukurasa wa Instagram Konde boy amesema “Nitakuwepo Mtwara Nangwanda kutoa burudani ngoma Kwangwaru.

Ikumbukwe kuwa ngoma hiyo ameifanya na msanii mwenzake Naseeb Abdul’Diamond Platnum’ ambaye alisema kuwepo kwa Harmonize kwenye show hiyo.

Related Articles

Back to top button