Tetesi
Asensio uhakika PSG

PARIS Saint Germain (PSG) inajiandaa kukamilisha uhamisho wa kiungo Marco Asensio kutoka Real Madrid.
Imeelezwa Mkataba wa Asensio utakuwa wa miaka minne, utaisha Juni 2027.
Imethibitishwa kutoka kwa mwandishi wa habari za michezo, Fabrizio Romano kuwa uhamisho huo utakamilika wiku ijayo baada ya Asensio kuiaga Madrid.
Taarifa ya Romano imeeleza kuwa Luis Campos, Mkurugenzi wa timu hiyo anasimamia dili hilo.