Tetesi

Tetesi: United huenda ikaachaa na Maguire

MANCHESTER United huenda ikaachana na Harry Maguire ambaye anatazamiwa kuhamia West Ham au Spurs huku ikielezwa kwa mchezaji huyo hayupo kwenye mipango cha Ten Hag. Souce FOOTBALL Transfer.

Wakati huohuo United inaweza kumsajili mshambuliaji huku tetesi zikieleza kuwa kuna uwezekano wa kumsajili Rasmus Hojlund wa Atalanta na Harry Kane. Times Subscription.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button