Africa

Simba karata muhimu CAF leo

KLABU ya Simba inashuka dimbani leo katika mchezo wa marudiano wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Wydad AC.

Mchezo huo utafanyika uwanja wa Mohamed V uliopo eneo la Maârif katika jiji la Casablanca, Morocco.

Katika mchezo wa kwanza uliopigwa kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam Aprili 22 Simba ilishinda kwa bao 1-0 .

Related Articles

Back to top button