Nyumbani

Mil 500/-kudhamini vijana Simba

Klabu ya Simba imeingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya MobiAd Africa wa udhamini wa timu ya vijana ya klabu hiyo wenye thamani ya shs milioni 500.

Hafla ya kusaini mkataba huo yamefanyika leo Dar es Salaam kati ya viongozi wa Simba na  MobiAd Afrika.

Kwa mujibu Simba udhamini huo una lengo la kutambua na kuendeleza vipaji vya vijana maeneo mbalimbali nchini.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button