Nyumbani

Simba balozi wa Utalii Zanzibar

Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Simai Mohammed Said ameiteua klabu ya Simba kuwa Balozi wa Utalii wa Zanzibar.

Taarifa ya Simba imesema Waziri Simai amechukua uamuzi huo kwa kutambua mchango klabu hiyo kutangaza utalii wa visiwa hivyo.

Afisa Mtendaji Mkuu wa Simba Imani Kajula ameishukuru Serikali ya Mapinduzi wa Zanzibar kwa hatua hiyo”

Related Articles

Back to top button