Ligi Ya WanawakeNyumbani
Ni Simba Queens vs Baobab Queens SLWPL leo

MICHEZO ya raundi ya nane ya Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara (SLWPL)inaendeleo leo kwa mchezo kati ya Simba Queens na Baobab Queens.
Mchezo huo utafanyika dimba la Uhuru, Dar es Salaam.
Simba Queens ipo nafasi ya 4 ikiwa na pointi 16 baada ya michezo 7 wakati Baobab Queens inashika nafasi ya 7 ikiwa na pointi 7 baad aya michezo 6.