Ligi KuuNyumbani

Ni Ihefu au KMC kuibuka mbabe leo?

LIGI Kuu ya Soka Tanzania Bara inaendelea leo kwa mchezo mmoja kupigwa mkoani Mbeya.

Ihefu ni wenyeji wa KMC kwenye uwanja wa Highland Estates ulipo eneo la Ubaruku wilaya ya Mbarali.

KMC inashika nafasi ya 9 katika msimamo wa ligi ikiwa na pointi 22 baada ya michezo 18 wakati Ihefu yenye pointi 17 baada ya michezo 18 ipo nafasi ya 13.

Katika mchezo mmoja wa ligi hiyo uliopigwa Disemba 2, Polisi Tanzania imegawana pointi na Ruvu Shooting baada ya kutoka suluhu kwenye uwanja wa Ushirika mkoani Kilimanjaro.

Related Articles

Back to top button