AfricaAfrika MasharikiAfrika Ya Kati

Tanzania dimbani U17 kufuzu AFCON

TIMU ya taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17(Serengeti Boys) leo inaanza kampeni ya kufuzu fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika(AFCON) ukanda wa CECAFA dhidi ya Ethiopia.

Mchezo huo utapigwa katika uwanja wa Abebe Bikila uliopo mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa.

Serengeti Boys imekuwa katika mazoezi makali kujifua kwa ajili ya michuano hiyo.

Michuano hiyo imeanza Oktoba 3.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button