Nyumbani

Uwanja mpya Yanga

KLABU ya YANGA imeonesha picha ya namna uwanja wake mpya inayotarajia kuujenga Makao Makuu ya klabu hiyo, Jangwani, Dar es Salaam utakavyokuwa.

Uwanja huo unatarajiwa kubeba mashabiki 15,000 hadi 18,000.

Juni 5 uongozi wa Yanga uliiomba serikali kuiongezea timu hiyo eneo kwa ajili ya ujenzi wa uwanja huo.

Related Articles

Back to top button