AfricaAfrika Mashariki

Tanzania U18 dimbani CECAFA wanawake

MICHUANO ya Baraza la Vyama vya Soka Afrika Mashariki na Kati(CECAFA) kwa wanawake chini ya miaka 18 inaanza leo kwa mechi ya ufunguzi kati ya Tanzania na Burundi.

Mechi za michuano hiyo zinafanyika uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. Mchezo wa pili leo utakuwa kati ya Uganda na Ethiopia.

Baada ya ubingwa huo wa CECAFA wanawake U18, michuano ya kufuzu Ligi ya Mabingwa ya CAF wanawake kanda itaanza kutimua vumbi Uganda kuanzia Agosti 12 hadi 30, 2023.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button