
Singida Fountain Gate na Tanzania Prisons zitafungua msimu wa 2023/2024 katika mchezo pekee wa Ligi Kuu Tanzania Bara leo.
Mchezo huo utakaofanyika kwenye uwanja wa CCM Liti mjini Singida.
Mchezo mmoja wa ligi hiyo umepigwa Agosti 21 kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma, wenyeji Mashujaa ikilazimishwa suluhu dhidi Geita Gold.