EuropaKwingineko
Sevilla vs Man UTD moto kuwaka Europa leo

Mechi nne za marudiano kuwania kufuzu nusu fainali Ligi ya Europa zinapigwa leo kwenye viwanja tofauti huku mchezo kivutio ukiwa Sevilla na Manchester United.
Katika mchezo wa kwanza wiki iliyopita Sevilla iliiduwaza Man United iliposawazisha magoli mawili kwa United kujifunga dakika ya 84 na 93 kwenye uwanja wa Old Trafford.
Mchezo huo ulimalizika kwa timu hizo kutoka sare ya mabao 2-2.
Mechi nyingine ni kama ifuatavyo:
Roma vs Feyenoord
Sporting CP vs Juventus
Union St. Gilloise vs Bayer Leverkusen