Ligi KuuNyumbani

Prisons, Mbeya City mechi ya kibabe

MAJIRANI katika jiji la Mbeya Tanzania Prisons na Mbeya City zinakutana leo katika mchezo pekee wa Ligi Kuu ya soka Tanzania bara kwenye uwanja wa Sokoine jijini humo.

Mbeya City ipo nafasi ya 7 katika msimamo wa ligi ikiwa na pointi 3 baada ya michezo 2 wakati Tanzania Prisons ipo nafasi ya 9 ikiwa na idadi ya pointi na michezo sawa na Mbeya City.

Katika mchezo wa mwisho wa ligi kuu Februari 27, 2022 kati ya timu hizo zilitoka sare ya bao 1-1.

 

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button