Africa
15 minutes ago
Ibenge: Tunahitaji umakini michezo ijayo
Muziki
57 minutes ago
MSHAMBULIAJI wa Inter Miami, Lionel Messi alilazimika kufanyiwa mabadiliko dakika 37 baada ya kupata jeraha katika mchezo wa Ligi Kuu…
Read More »
WINGA wa Tottenham Ivan Perisic anatarajiwa kukosa michezo yote ya timu hiyo iliyobaki msimu huu baada ya kupata majeraha ya…
Read More »
MECHI za michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya(UCL) hatua ya makundi zinaendelea leo mitanange ikipigwa viwanja tofauti. Michezo hizo za…
Read More »
JULIAN Nagelsmann anatarajiwa kutangazwa Kocha mpya wa timu ya taifa ya soka ya wanaume ya Ujerumani. Anatarajiwa kuteuliwa kwa mkataba…
Read More »
DAR ES SALAAM- KOCHA Mkuu wa Azam FC, Florent Ibenge, amesisitiza haja ya wachezaji wake kuongeza umakini wa kiuchezaji, uimara wa kisaikolojia na matumizi sahihi ya nafasi katika michezo ijayo,…
MEXICO: TASNIA ya filamu na sanaa ya maigizo nchini Mexico imekumbwa na pigo kubwa baada ya kifo CHA mmoja wa waigizaji wa fiamu ya Apocalypto iliyotoka mwaka 2006, Gerardo Taracena,…
LOS ANGELES: MSANII chipukizi wa muziki wa pop kutoka Afrika Kusini, Tyla, ameandika historia mpya katika tuzo za Grammy 2025 baada ya kushinda tuzo yake ya pili, akiwashinda mastaa wakubwa…
LONDON, UINGEREZA BEKI wa heshima wa soka la Kenya Collins Sichenje amefanikiwa kujiunga na klabu ya Charlton Athletic ya nchini Uingereza. Sichanje amefanikiwa kiutia saini mkataba wa miaka miwili na…
ZANZIBAR: TAMASHA la 23 la Kimataifa la Muziki, Sauti za busara linatarajiwa kuanza Februari 5 hadi 8, 2026 visiwani Zanzibar zikiwa siku nne za kuburudika na muziki wa live kutoka…
DAR ES SALAAM: KLABU ya Yanga inatarajiwa kusafiri leo kuelekea Rabat, Morocco, kwa ajili ya mchezo muhimu wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS FAR…