Burudani

“Niliona Kajala ana tamaa ya pesa”

Kutoka kiwanda cha Bongo fleva nchini msanii Rajab Abdul, ‘Harmonize’ amesema kajala angemtoa roho kwakuwa hajui kama pesa zinatafutwa.

Kupitia ukurasa wa Istagram ameandika kuwa“baada ya kuona Kajala ana tamaa sana.alihisi kabisa kuna siku atamtoa roho maana hajui kuwa pesa zinatafutwa.anataka pesa muda wote”

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button