KwinginekoLa LigaSerie A
Mechi Laliga, Serie A na Ligue1 leo
MECHI za Ligi Kuu Hispania, Italia na Ufaransa zinaendelea leo kwa michezo kadhaa.
Mitanange hiyo ni kama ifuatavyo:
LALIGA
Sevilla vs Almeria
Mallorca vs Barcelona
SERIE A
Juventus vs Lecce
LIGUE 1
Lille vs Reims