Kwingineko

Man City vs Arsenal kazi kazi FA leo

MANCHESTER City na Arsenal leo zinakutana kwenye mchezo wa raundi ya nne ya Kombe la FA kwenye uwanja wa Etihad, Manchester.

Timu hizo ndizo zinazokaribiana kwenye msimamo wa Ligi Kuu England(EPL) Arsenal ikiongoza kwa pointi 50 baada ya michezo 19 wakati Man City ni ya pili ikiwa na pointi 45 baada ya michezo 20.

Liverpool ndio bingwa mtetezi wa taji la FA ililotwaa kwa kuifunga Chelsea katika fainali kwa mikwaju ya penalti 6-5 kwenye uwanja wa Wembley jijini London Mei 14, 2022.

Related Articles

Back to top button