Habari Mpya
Ligi ya Mabingwa Ulaya kutimua vumbi leo

MICHUANO ya Ligi ya Mabingwa Ulaya hatua ya makundi inaanza kutimua vumbi leo kwenye viwanja tofauti.
Michezo minane itapigwa kama ifuatavyo:
Kundi E
Dinamo Zagreb vs Chelsea
FC Salzburg vs AC Milan
Kundi F
Celtic vs Real Madrid
RB Leipzig vs Shakhtar Donetsk
Kundi G
Borussia Dortmund vs FC Copenhagen
Sevilla vs Manchester City
Kundi H
Benfica vs Maccabi Haifa
Paris Saint-Germain vs Juventus