EuropaKwingineko

Kunyoa au kusuka Ligi ya Europa leo

MECHI nane za marudiano Ligi ya Europa hatua ya 16 bora zinapigwa leo kwenye viwanja tofauti.

Baadhi ya timu zinahitaji kupindua meza huku nyingine zikihitaji sare ya aina yoyote kutinga robo fainali.

Michezo ya leo ni kama ifuatavyo:

Fenerbahce vs Sevilla
Feyenoord vs Shakhtar Donetsk
Freiburg vs Juventus
Real betis vs Manchester United
Arsenal vs Sporting CP
Ferencvaros vs Bayer Leverkusen
Real Sociedad vs Roma
Union St. Gilloise vs Union Berlin

Related Articles

Back to top button