Nyumbani

Kombe la Shirikisho lapata mdhamini

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) na Benki ya CRDB, leo wamesaini mkataba wa udhamini wa Kombe la Shirikisho (FA).

Michuano hiyo ambayo kabla ya udhamini huo ilikuwa ikijulikana kama Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC), sasa itajulikana kama Kombe la Shirikisho la CRDB.

Mkataba huo wa miaka mitatu na nusu utagharimu Sh bilioni tatu.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button