Kwingineko

Kocha wa zamani Scotland afariki dunia

KOCHA wa zamani wa timu ya Taifa la Scotland, Craig Brown amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82 kufuatia kuugua kwa muda mrefu. Sky Sport imeripoti.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa leo na vyombo vya habari nchini Uingereza.

Brown alipata taaluma yake kama mkufunzi mkuu huko Clyde kabla ya kuifundisha timu ya Scotland chini ya miaka 21.

Related Articles

Back to top button