Ligi Ya WanawakeNyumbani

Kivumbi Ligi Kuu wanawake leo

LIGI Kuu ya mpira wa miguu ya wanawake inaendeleo kwa michezo minne kwenye viwanja tofauti.

Alliance Girls itakuwa wenyeji wa Fountain Gate Princess kwenye uwanja wa Nyamagana, Mwanza huku Bunda Queens ikiwa mgeni wa Baobab Queens kwenye uwanja Jamhuri, Dodoma.

Geita Gold Queens imesafiri kuifuata Ceasiaa Queens kwenye uwanja Samora, Iringa wakati Amani Queens itakuwa wenyeji wa mabingwa watetezi JKT Queens kwenye uwanja wa Ilulu, Lindi.

Related Articles

Back to top button