EPLKwingineko
Kivumbi Chelsea vs Man City leo

MECHI ya kibabe ya Ligi Kuu England kati ya Chelsea na Machester City inapigwa leo kwenye uwanja wa Stamford Bridge jijini London.
Man City inashika nafasi ya pili katika msimamo wa EPL ikiwa na pointi 36 baada ya michezo 16 wakati Chelsea ipo nafasi ya 10 ikikusanya pointi 25.
Arsenal inaongoza EPL ikiwa na pointi 44 baada ya michezo 17.
Michezo 4 ya EPL imepigwa Desemba 4 na matokeo ni kama ifuatavyo:
Aston Villa 1 – 1 Wolverhampton Wanderers
Crystal Palace 0 – 4 Tottenham Hotspur
Leeds United 2 – 2 West Ham United
Southampton 0 – 1 Nottingham Forest