Burudani
KIBA: Wasanii wangu wako huru
Msanii wa Bongo fleva Ali Kiba amesema wazi kuwa msanii wa kwenye lebo yake anaweza kufanyakazi na msanii yoyote.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Alikiba amesema kuwa ngoma ya Abdul na Diamond niwasanii wafanye kazi.
“Abdu Kiba ni msanii kufanya ngoma na Diamond hakuna shida anaweza kufanya na msanii yeyote anayemtaka.” Amesema
Pia ameongeza kuwa anamuheshimu Msanii Zuhura Othuman, ‘Zuchu’ kusema show yake yakawaida hayo ni mawazo yake.




