Ligi KuuNyumbani

Kayoko kuamua Yanga vs Simba

MWAMUZI Ramadhani Kayoko wa Dar es Salaam amechaguliwa kuwa mwamuzi wa kati wa mchezo wa Ligi Kuu ya soka Tanzania Bara wa watani wa jadi Yanga na Simba Oktoba 23.

Mchezo huo utapigwa katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.

Mwamuzi namba 1 katika mchezo huo ni Mohamed Mkono wa Tanga wakati Mwamuzi namba 2 ni Janeth Balama wa Iringa.

Kamisaa wa mchezo huo ni Kamwanga Tambwe wa Ruvuma.

Related Articles

Back to top button