Wasifu

Kajula CEO mpya Simba

UONGOZI wa klabu ya Simba umemtangaza Imani Kajula kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) mpya wa klabu hiyo kwa mkataba wa miezi sita.

Kajula anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Barbara Gonzalez aliyejiuzulu nafasi hiyo Desemba 10,2022.

Kabla ya kujiunga na Simba Kajula amewahi kufanya kazi sehemu mbalimbali zikiwemo Kampuni ya EAG Group na Benki za NMB, Posta, CRDB.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button