Bundesliga
Bayern yapata mwanachama mpya wa bodi

Bayern munchen imetangaza kumteua Karl-Heinz Rummenigge kuwa mwanachama mpya wa bodi.
“Ningependa kuishukuru bodi ya usimamizi kwa imani yao na ninatazamia kuiunga mkono Bayern katika siku zijazo.” amesema Rummenigge.