Kivumbi ligi 5 bora ulaya leo
MICHEZO ya ligi tano bora za mpira wa miguu barani Ulaya inaendelea leo kwa michezo 20.
Vita ya ubingwa Ligi Kuu Uingereza inazidi kupambana moto huku Arsenal na Manchester City zinazoshika nafasi za kwanza na ya pili zikitinga viwanja tofauti kusaka pointi.
Mitanange hiyo ni kama ifuatavyo:
PREMIER LEAGUE
Arsenal vs AFC Bournemouth
Brentford vs Fulham
Burnley vs Newcastle United
Sheffield United vs Nottingham Forest
Manchester City vs Wolves
LALIGA
Real Sociedad vs Las Palmas
Real Madrid vs Cadiz
Girona vs Barcelona
Mallorca vs Atletico Madrid
SERIE A
Monza vs Lazio
Sassuolo vs Inter
BUNDESLIGA
Borussia Dortmund vs Augsburg
VfB Stuttgart vs Bayern Munich
Werder Bremen vs Borussia Monchengladbach
Wolfsburg vs Darmstadt
FC Cologne vs Freiburg
LIGUE 1
Le Havre vs Strasbourg
Monaco vs Clermont Foot
Metz vs Rennes
Brest vs Nantes