
KLABU ya Azam imetangaza kuachana na wachezaji Ahmed Salula na Shaaban Chilunda.
Kupitia kurasa zake rasmi za mitandao ya kimaii Azam imesema: “#ThanksYou Ahsanteni sana kwa utumishi wenu uliotukuka ndani klabu yetu.Tunawatakia kila la kheri katika maisha yenu mapya ya soka, popote muendapo. Thank you @ahmed_salula x @chilunda43!🙏.”
Ahmed Salula alisajiliwa Azam Agosti 3, 2021 akitokea KMKM ya Zanzibar.