Tetesi

Arsenal watoa £90m kwa Rice

ARSENAL imepanda dau hadi kufikia £90m kwa ajili ya uhamisho wa kiungo Declan Rice kutoka West Ham United. Mtandao wa Sky Sport umeeleza.

Baada ya taarifa hiyo, mwandishi wa habari za michezo, Fabrizio Romano imeeleza kuwa West Ham inajiandaa kutupilia mbali dau hilo.

Katika fedha hizo walizotoa Arsenal £15m zinajumuisha baadhi vipengele vya nyongeza katika mkataba ambavyo West Ham wanaamini haviwafai.

Romano amesema West Ham wanaamini Man City huenda akaingilia kati dili hilo.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button