BurudaniMuziki

Amapiano pasua kichwa kwa Navy Kenzo

DAR ES SALAAM:Wasanii wa Bongo fleva, Nahreel na Aika kutoka Navy kenzo wameweka wazi kwamba wamefanya Nyimbo nyingi za Amapiano lakini wanaogopa sana Kuzitoa.

Akizungumza na waandishi jijini Dar es Salaam, Navy kenzo wamesema wanaogopa kupoteza radha za nyimbo zao wakiimba Amapiano.

“Siri kubwa ya Navy kenzo kwamba hatutaki kupoteza ladha yao kama Navy Kenzo ndio sababu kubwa ya kuvutana mashati sana na kupata hofu ya kuachia Nyimbo zetu za Amapiano” amesema Navykenzo

Related Articles

Back to top button