Ligi Ya WanawakeNyumbani

Robo fainali ligi ya mabingwa mikoa wanawake Julai 23

MICHEZO ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa Wanawake itapigwa Julai 23 kwenye uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza.

Katika robo fainali hiyo Mpaju Queens ya Mbeya itakabiliana na Njombe FDC Queens ya Njombe huku Mwanza City Queens ya Mwanza ikiumana na Sekondari ya Ziba ya Tabora.

Gets Program ya Dodoma itaoneshana kazi na Mara Princess ya Mara wakati Sayari Woman ya Dar es Salaam itaitafuta nusu fainali dhidi ya Ifakara Home Queens ya Morogoro.

Related Articles

Back to top button