Tetesi

Messi kusepa PSG

NYOTA wa PSG, Lionel Messi ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu, kwa mujibu wa taarifa.

Taarifa ya mwandishi wa habari, Fabrizio Romano imeeleza kuwa baba wa Messi aliwasiliana na PSG mwezi mmoja uliopita kuhusu uhamisho wa mchezaji huyo.

PSG imemsimamisha Messi kucheza mchezo wowote kuanzia leo baada ya taarifa za safari yake ya Saudia Arabia.

Inaonekana kama uhusiano kati ya Messi na PSG yameharibika na hakuna dalili tena za kwamba wanaweza kufanya kazi pamoja, imeeleza taarifa ya Romano.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button