FANyumbani

Simba vs Ihefu, Yanga vs Geita robo fainali ASFC

DROO ya robo fainali michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam(ASFC) imefanyika leo huku bingwa mtetezi wa kombe hilo Yanga ikipangwa kukipiga dhidi ya Geita Gold.

Wekundi wa Msimbazi, Simba itaivaa Ihefu wakati Azam itakabiliana na Mtibwa Sugar.

Singida Big Stars itakabiliana na Mbeya City katika mchezo mwingine wa robo fainali hiyo.

Michezo hiyo itapigwa kati ya Machi 31 na  Aprili 2, 2023.

Related Articles

Back to top button