Ligi KuuNyumbani

JKT Tanzania kuizuia Yanga leo?

BAADA mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga kuanza ligi hiyo kwa kishindo kwa kuibugiza KMC mabao 5-0, timu hiyo inashuka dimbani tena leo kuikaribisha JKT Tanzania.

Mchezo huo utafanyika kwenye uwanja wa Azam Complex Dar es Salaam.

Timu hizo zimekutana mara saba, Yanga ikishanda mara sita na sare moja.

Katika mchezo wa ufunguzi wa ligi Agosti 15, JKT Tanzania ilipata ushindi mwembamba wa bao 1-0 dhidi ya wenyeji Namungo.

Related Articles

Back to top button