Nyumbani
Al Hilal kuikabili Azam leo

BAADA ya sare ya bao 1-1 dhidi ya Namungo katika mchezo wa kwanza wa kirafiki wa imataifa klabu ya Al Hilal ya Sudan leo itashuka tena dimbani kuikabili Azam.
Mchezo huo utapigwa kwenye uwanja wa Azam Complex uliopo Chamazi, Dar es Salaam.
Al Hilal imepiga hapa nchini kujiandaa na michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika hatua ya makundi.