FANyumbani

Raundi ya 3 ASFC leo

RAUNDI ya tatu ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam(ASFC) inaanza leo kwa mchezo mmoja.

Katika mchezo huo Mapinduzi ni mwenyeji wa Polisi Katavi katika uwanja wa Nyamagana jijini Mwanza.

DROO ya mechi za timu 32 za michuano hiyo ilifanyika Desemba 13, 2022 huku mabingwa watetezi wa taji hilo Yanga ikipangwa dhidi ya Rhino Rangers.

Katika droo hiyo miamba mingine ya soka nchini Simba itavaana na Coastal Union wakati Azam ikiikabili Dodoma Jiji.

Related Articles

Back to top button