Mapinduzi CupNyumbani

Yanga mzigoni Mapinduzi leo

BAADA ya mtani wake Simba kuondolewa fainali za Kombe la Mapinduzi kwa kuchapwa bao 1-0 na Mlandege, Yanga leo inashuka dimbani kuikabili KMKM.

Mchezo huo utapigwa kwenye uwanja wa Amani.

Mechi kati ya Yanga na KMKM itatanguliwa na mchezo wa kati ya Chipukizi na Namungo.

Kufuatia kichapo hicho Simba ambayo ni bingwa mtetezi wa kombe hilo imevuliwa rasmi taji hilo.

Related Articles

Back to top button