Filamu

Lewis Hamilton aizungumzia Filamu ya Nyota ‘F1’

NEW YORK: BINGWA mara saba wa Formula One Lewis Hamilton ameonesha kufurahishwa kufanya kazi kwenye filamu yam bio za magari F1.

“Imekuwa kama miaka minne tumekuwa tukiifanyia kazi, kwa hivyo imekuwa njia ndefu ya furaha.
“Sijawahi kushiriki kuandaa filamu kutoka kwa wataalamu hadi kufanya kazi kwenye nafasi kubwa kama hii ni furaha kwangu,” amesema.

Lewis amesema: “Kwa kweli tumeleta waigizaji bora zaidi. Waigizaji wamekuwa wa ajabu … Wafanyakazi wa nyuma waliotengeneza filamu hii jinsi ilivyo leo, ninawashukuru sana.”

Alipoulizwa kama ana matarajio yoyote ya uigizaji, Lewis alijibu: “Sijui. Nilipenda sana kufanya utayarishaji wa nyuma ya kamera kwenye hii F1 lakini, unajua, usiseme kamwe.”

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button