Michezo MingineSoka La Ufukweni

18 kuingia kambini soka ufukweni COSAFA

WACHEZAJI 18 wameitwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya soka la ufukweni kitakachoingia kambini kujiandaa na mashindano ya Baraza la Vyama vya Soka Kusini mwa Afrika(COSAFA).

Wachezaji watakaoingia kambini chini ya Kocha Mkuu Boniface Pawasa ni Adam Oseja, Ahmed Juma, Shabani Shabani, Eric Manyama, Sadiki Max, Jaruph Juma, Mtoro Hassan, Ibrahim Hassani na Stephano Mapunda.

Wengine ni Goodluck Gama, Emmanuel Samweli, Abdillah Salum, Nuhu Mdem, Ismail Gambo, Yahya Tumbo, Juma Ibrahim, Adili Sultan na Stanley Nkomola.

Related Articles

Back to top button