
KLABU ya Yanga ya vijana umri chini ya miaka 20 imeibuka kidedea baada ya kuibamiza Simba mabao 4-0 katika mchezo wa Ligi Kuu U20.
Mchezo huo umefanyika uwanja wa Azam Complex, Chamazi Dar es Salaam.
Yanga iliyoutawala mchezo huo ilikuwa ikiongoza kwa mabao 3-0 hadi mapumziko.
FULLTIME
Simba SC 0️⃣-4️⃣ Young Africans
Willyson Christopher⚽
Sheikhan Khamis ⚽
Ahmed Fredrick⚽
Ramadhani Hemed ⚽