Ligi KuuNyumbani

Yanga mbabe wa KMC

KLABU ya Yanga imeendeleza ubabe dhidi ya KMC baada ya kushinda mchezo wa raundi 16 ya Ligi Kuu Tanzania Bara kati timu hizo kwenye uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro leo.

Katika mchezo wa kwanza uliofanyika kwenye uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam Agusti 23, 2023 Yanga ilishinda kwa mabao 5-0.

Kwa matokeo hayo Yanga imeendelea kujikita juu ya msimamo wa ligi ikiwa na pointi 43 baada ya michezo 16 wakati KMC imebaki na pointi 22 katika nafasi ya 5 baada ya michezo 16.

FULLTIME
KMC              0 – 3 YANGA
Mudathir Yahya 01′, 54′
Pacome Zouzoua 59′

Related Articles

Back to top button