La Liga

Xavi: Sihitaji mbadala wa Alba

KOCHA wa Barcelona, Xavi Hernandez amesema hana haja ya kusajili beki mwingine wa kushoto baada ya kuthibitika Jordi Alba ataondoka mwishoni mwa msimu huu.

Taarifa ya Fabrizio Romano imeeleza kuwa Xavi hataki kusajili beki mwingine kwasababu tayari kuwa Marcos Alonso na Alejandro Balde.

“Tunahitaji mbadala wa Busquets. Itategemea hali ya Haki ya Kifedha. Nataka mhimili mahiri, aliyedhamiria kuwa bora”.amesema Xavi.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button