World Cup

Vuta nikute Kombe la Dunia la Klabu

MICHUANO ya Kombe la Dunia la Klabu inaendelea leo nchini Morocco kwa michezo miwili kupigwa viwanja tofauti.

Katika mchezo wa awali wenyeji mabingwa wa Ligi ya Mabingwa Afrika, Wydad Casablanca itavaana na Al Hilal ya Saudi Arabia kwenye uwanja Prince Moulay Abdellah uliopo jijini la Rabat.

Baadaye Al Ahly ya Misri itakuwa kibaruani dhidi ya bingwa wa Ligi ya mabingwa Amerika ya Kaskazini, Kati na Caribbean, Seattle Sounders mtanange utakaopigwa kwenye uwanja wa Tanger.

Katika mchezo wa kwanza Al Ahly iliitoa Auckland City ya New Zealand kwa mabao 3-0.

Related Articles

Back to top button