BundesligaEPLKwinginekoLa LigaSerie A

Vibonde EPL kuwania pointi

BAADA ya michezo ya soka Ulaya katikati ya wiki kwa timu kadhaa za Ligi Kuu England(EPL), leo macho na masikio yanarejea kwenye mechi ya ndani na klabu kadhaa ndogo zitataka kutumia uchovu wa wapinzani kupata ushindi.

Manchester City, Newcastle United, Manchester United na Arsenal zilikuwa kwenye Ligi ya Mabingwa Ulaya wakati West Ham United, Brighton & Hove Albion na Liverpool zikiwa michuano ya Ligi ya Europa huku Aston Villa ikishiriki Ligi ya Europa Conference.

Patashika EPL na ligi kuu nyingine 4 ulaya ni kama ifuatavyo:

PREMIER LEAGUE
Crystal Palace vs Fulham
Luton Town vs Wolverhampton Wanderers
Manchester City vs Nottingham Forest
Brentford vs Everton
Burnley vs Manchester United

LALIGA
Girona vs Mallorca
Osasuna vs Sevilla
Barcelona vs Celta Vigo
Almeria vs Valencia

SERIE A
AC Milan vs Verona
Sassuolo vs Juventus
Lazio vs Lonza

BUNDESLIGA
Augsburg vs Mainz
Bayern Munich vs Bochum
Borussia Dortmund vs Wolfsburg
Borussia Monchengladbach vs RB Leipzig
Union Berlin vs Hoffenheim
Werder Bremen vs FC Cologne

LIGUE 1
Nantes vs Lorient
Brest vs Lyon

Related Articles

Back to top button